Viziwi Tanzania Wadai Wakalimani wa Lugha ya Alama Hospitalini Ili Kupata Huduma kwa Ufanisi
The Chanzo ·
Wataka wakalimani wa lugha kwenye vituo vya kutolea huduma za afya na watoa huduma za afya nao wajifunze lugha ya alama. The post Viziwi Tanzania Wadai Wakalimani wa Lugha ya Alama Hospitalini Ili Kupata Huduma kwa Ufanisi appeared first on The Chanzo .
Taarifa za uchapishaji na chanzo
- Jukwaa
- NewsTiVi
- Chanzo
- The Chanzo
- Imechapishwa
- 21/10/2026, 03:32:00
- Nchi
- Tanzania
Kichwa na muhtasari vinatolewa na mchapishaji. Soma taarifa kamili kwenye tovuti ya chanzo.
Mawasiliano: info@newstivi.com